LOVELY SISTER'S KITCHEN PARTY
HALIMA SALIM
AT MAKUMBUSHO POSTA
This was a enjoyable day with green sister's, mimi ilinibamba kwakweli na niliipenda sanaa!!
Halima alipendeza kila mtu alimshangaaa kwakweli..
| halima was lookin standing n beautiful, mi love ur dress sanaa... black beauty huyoo |
Sikua nyuma mwenzenu hivyooooo
| Hapo chacha lulu mwenyeweeee |
Jaman ilipendeza na watu walipendeza mbonaaa
| green girls mmmh |
| jaman mtu mama yake huyooo mama mzaa chema!!! |
| harisa aliingia kwa furaha na shangwe, shughuli kusherehekea mwenzang.. |
| furaha kila pembeee, lulu mie!!! |
| green is a nice colour |
Dada langu la ukweli....
myyyyy halima mkubwa pendeza wewe!!!
| jamani mi sisemiiii |
No comments:
Post a Comment