Saturday, November 17, 2012

The LuLu


HALIMA'S NIGHT 
Was nice, watu walipendeza sanaaaa..

Sendoff hii walitumia colour combo, zilivutia vibaya mnoo wala sikutegemea kama itambendeza kiasi hiki...

Lets see then!!!!!!

What a beautiful bride jaman, black n fabulous!

sichoki kumtazama unajua..


wowww colour combo yeahhh


mie tena, mi na shost wangu...

waarab kutoka dubai ndaniii, nimependa sana!!

mashallah!!1 sina usemi ila ilipendeza..

Mr and Mrs Kassim


jamani harisaaa  jicho hilo, ur lookin amaizin my sister!!
Aminia sana, mwanamke kujiamini..

kuwa na wadada wengi rahaaa..


mmmh jamaniii..


mmmh harisah, mwanamke kujiamini...

jamani marafiki hawakua nyuma, love you jack

my brother Twaha


jamani my dada mmmh mungu akuzidishie myyy


zenaice mwaaa






mc alikua vizuri sana, anajua looh

Dr. family sisemi mimi..


team blue ilikua shida kidogo kuwapata maaana..

mi tena, na ma maids

happy maids


Nimependa kila kitu kwenye shughuli hii, God bless mimah n her husband jamani nawapenda sana!!

NDOA: Nyumban Daima Omba Aman...






























No comments:

Post a Comment