PEOPLE L MISSED U VERY MUCH
seriously nilikua busy sana hadi nakosa mda hata wakuwahuku na nyinyi bt now niko poa sasa tunaweza badilishana mawazo ya hapa na pale kwakweli!
nataka niwaonyeshe kitu niwaambie kilichokua kinanifanya nikose mda kabisaaa
Firstly shule imeanza jamani, na imekua ngumu balaa kila kukicha ubize kwenda mbeleeee, ila inshallah mwenyezi mungu atupe uzima na afya tumalize salama.
Secondly wowww, wedding of my lovely sis halima ni kitu ambacho kilikua kinakula mda kupitiliza na pia furaha ambazo nilikua nazo...
Lastly bt not list is my family,friends, n my ...... was also keepin me busy a bit...
bt now am back with you people!!!!
I LOVE YOU ALL!
No comments:
Post a Comment