NEW ORGANIZATION or ASSOCIATION IS COMING!
Nikiwa kama kiongoz wa organization hii ambayo teari imeshapikwa iko njian kwa ajili ya wanawake na maendeleo..
AWPC ASSOCIATION
Araizing Woman in Power and Confidence Association
Itahusiana na ishu za kijamii kuhusu wanawake kwa ujumla na watoto, ni muhimu kujitambua na kujiamini kama tunawezaaa!
Sikuzote maendeleo huletwa na juhudi, kujitambua, kujiamini, kujipenda na kujali wengine pia katika maendeleo yako ilikufika mbali..
kwaufupi tu, ndio hayo yaliopo kwasasa!
Soon ntawaletea zaidi nini kinaendelea kuhusu
AWPC ASSOCIATION.