Saturday, September 15, 2012

I AM VERY PROUD!

Kupata malezi yaliyo bora kutoka kwa wazazi wangu na yakidini yenye kukufanya uwe na imani, huruma na moyo wakibinaadam...
Kuvaa mavaz ya heshima, nakujiheshimu mbele za watu wa rika zote wa chini yangu na walio juu yangu ili kujiepusha kutoheshimiwa na kudharaulika na kila rika katika maisha haya ya duniani ambayo tunapita tuuu...
Nimekua na imani na dini na kumuogopa mwenyezi mungu, niko proud pia to be born muslim in my life ingawa kila mtu na imani yake nawala sidharau dini ya mtu..
Tunatakiwa kupendana nakuonyesha upendo kwa kila mtu katika maisha yetu yote!
Hamna mtu ninaempenda maisha yangu yote kama mtoto huwa hata nikimuona anasononeka basi naumia sanaaaaa, na nakosa raha kabisa!!!!! 
only lulu
  
love you my sister n always care bout u, mimah n lulu  



I love it very badly!!!!
 
 Kila jambo tunamshukuru mungu mimi namshukuru kwa hili maisha yangu yote!
 

No comments:

Post a Comment